Nyuzi zinazomuhusu zary ,huwa zinapata wachangiaji wengi sana.Mama tee hyo caption nimeipenda Leo umejua kunikuna, umegusa mule mule, Leo lazima mtu apate homa ya tumbo la uzazi
Mama Sabrina ,umemsikia mwanamke makini mwenyr umakini kuanzia kichwan,uson,kiunon,makalio,miguu, mpaka kucha?? Umemsikia???[emoji23]
Hatimaye umekuja sasa !!!.Kipi chake alichofanikiwaa
basi hata mi G ananirithisha mali zake nami bosslady
Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimbaHatimaye umekuja sasa !!!.
Unahisi unanguvu nauwezo wakusimama, nakuongea kauli kama hiyo mbele ya wanawake wenzako????
Hapa usitafasiri km amewapa dongo nooooo...... Anajaribh kuwainspire nakuhimiza umuhim wa mwanamke kuhangaika sana ili ajijengee ufalme wake yakwamba hata bila Ivan bado angekua na fortune yake.
Thats Zarieth the boss lady ,yupo makini kuanzia kichwan mpaka kuchani.
Alikuwa mke wa mganga wa kienyeji, aliponda sana mavumba na kuwasha mkaa wa kilinge. Ametoka mbali bibi wa watu.Kwani yeye amefikaje hapo alipo?
Kwamba ni Kwa juhudi zake mwenyewe au urithi wa mali za Mume wake the late Ivan?
Manake mali za urithi Mtu hupaswi kutamba nazo !
Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodiAlikuwa mke wa mganga wa kienyeji, ski ponds sana mavumba na kuwasha mkaa wa kilinge. Ametoka mbali bibi wa watu.