Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
acha kimbelembele na Wewe,
mambo yepi ya ajabu hapo
mi kwangu ya ajabu aisee, we niite utakavyoniita lakini kwangu yatabaki kuwa ya ajabu, kama kwako ni ya kawaida usidhani na kwangu ni ya kawaida, so tuheshimiane mkuu
ajabu yake nini sasa hapo?
sikuheahimu tenaaaa kama unaona kuna ajabu hapo
we usiniheshimu tu haina shida, mi nitakuheshimu na nitaheshimu mawazo yako
ila uache kushobokea vitu vya kijinga!!
mi kwangu ya ajabu aisee, we niite utakavyoniita lakini kwangu yatabaki kuwa ya ajabu, kama kwako ni ya kawaida usidhani na kwangu ni ya kawaida, so tuheshimiane mkuu
acha kimbelembele na Wewe,
mambo yepi ya ajabu hapo
Achana na huyo mpuuzi.Wenzio tumeshamzoea tunampotezea tu.
Mtu mwenye akili zake hawezi kuvamia comment waliyoitwa watu wengine.