utulie tu, mengine waachie wenyewe... huwezi ingilia musiano ya mtu... hata ya wazazi endapo utagundua mwingine ana mcheat mwingine tena kwa kiwango zaidi ya hao wakina zari na mwenzie...
wange kuwa wanaitaji msaada wange kuita uwasaidie....
Joyce kaeleza yake amekuwa dhaifu.... huyu ana vumilia yanayo mhusu watu mna waingilia.... mama, una taka mwenzio atoke ili wewe uingie?