Technically speaking, at last tumeujua ukweli wa mambo wa siasa za ZANZIBAR....kumbe CUF huwa wanashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika chaguzi za Zanzibar..kura ya maoni ime-reveal hii kitu...CCM wamelazimisha kura hii coz this year wangeiba tena kura,pangechimbika mwaka huu, Wazanzibar hawakuwa tayari tena kuibiwa...wahenga walinena, daima mwanga haufunikiki, BRAVO Zanzibaris!!
Tunajua CUF washawahi kushinda at least mara moja Zanzibar, top wa Intelligence wa CCM wenyewe wanakubali. Na nilishasema CCM wamekubali mseto kwa sababu wanajua hawawezi kuendeleza kuiba kila uchaguzi.
Lakini hii habari ya kwamba wanashinda kwa zaidi ya asilimia 60 unaitoa wapi ? Ningependa kujua source maana hii ni statistic.
mkuu,nime-base kwenye matokeo ya kura hii ya maoni, kwa kuzingatia pia maeneo yaliyopiga ndiyo na hapana..
Mbona hii ipo wazi kuwa uchaguzi ukiwa huru na haki CCM hawashindi zaidi ya viti 10 Zanzibar....na bado naamini kuwa Maalim Seif Shariff Hamad hajawahi kushindwa uchaguzi huru na haki Zanzibar.