sasa wewe si unasema unawapenda wakoloni na ndio maana nakuonesha walioyafanya dhidi yetu sio kama ni warabu tu hata wazungu unao wapenda wamefanya maovu waulize wamarekani weusi watakueleza .

Samahani mkuu kweli sikusoma kwa uangalifu maoni yako nilifikiria ulisema kuwa you are proud of wakoloni (sababu kubwa iliyonifanya hivyo ni GIN &tonic)