Fantastic... Sasa itakuwaje MUUNGANO UKIVUNJIKA ? HIYO MELI ITAKUWA INAFANYA
ZIARA kati ya PEMBA na ZANZIBAR ?
Jiulize Muungano ukivunjika Alhaji Mwinyi atabaki Msasani au atahamia mji mkongwe?
lazima abaki MSASANI............ chezea daslam weye...........Jiulize Muungano ukivunjika Alhaji Mwinyi atabaki Msasani au atahamia mji mkongwe?
Ni nzuri lakin HII SIO HABARI YA KISIASA kumbuka hapa ni jukwaa la siasa
Azam ana uwezo mkubwa wa kifedha kuliko serikali ya dhaifu