Ukweli ambao ni mchungu sana kwa watu wengi, ni kwamba Zanzibar hayatatokea machafuko.. Kuna watu wengi wanaombea yatokee ili kuikomoa serikali ya CCM, lakini serikali imejipanga na inatumia uoga na utu wa Watanzania kama silaha... Uchaguzi utafanyika, CCM itashinda na watakaoleta fyokofyoko watakuwa contained mapema kabla hajaleta madhara.... Kwa hali ya kisiasa ilivyo Zanzibar mpaka sasa kila mtu ana mtu tayari.
Tutulie, tujenge nchi.... Katulizwa Lowasa na katulia.