pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,440
- 4,827
Unaleta udiniChama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Nimeshindwa kuelewa😀
Zanzibar kiswahili wanakielewa sidhani kama watakuwa wamekosea pengine hilo neno Lina maana nyingi wataalam wa kiswahili tunaomba ufafanuzi.
Usimpe nafasi FaizaFoxy sema na uislam sio waisilam tuNilikuambia Waislamu wako Afghanistan 🐼
Kwa mujibu wa takwimu Pemba ndio inaongoza kwa Mambo ya ulawiti.Pumbavu sana, unaongelea pemba gani?
Labda huko kwenu kuna kanisa linaitwa pemba ndo linafungisha ndoa za mashoga.
Huyu ndo Mungu mwenye mtoto..Allah ni kweli Hana mtoto.Mungu wa kike Mungu mwezi ila mnasema hana mtoto
Muda mwingine wanaosema kuwa muislamu ni kuwa taahira wapo sahihi kwa kiasi fulani...sasa uteuzi wa huyo mwanamke umefanywa na wayahudi na hao wakristo?Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Mchua misuli iliyotunaAmeteuliwa kuwa daktari au mchua mapaja? Mbona unaandika kike kike
Hao si waTz bwanshee.Kwani shida iko wapi we mleta uzi ? Hii ni kazi ya kitaalamu na huyo Bi Rahma ni professional kwanini asifanye hiyo kazi ?
Watanzania tuna akili na mawazo ya ajabu sana, kwani mbona ukienda Hospital unahudumiwa na Doctor au Nesi Mwanamke ? Punguzeni ushamba na uzuzu wa kiboya.
Hata wakiumia korodoni atawachua?waume zawatu waleKama unamuonea wivu bibie rahma kuwachua wachezaji,kawachue wewe
Muislam harusiwi kufanya hivyoMimi ningekua mchezaji ningetaka kuchuliwa misuli na mwanamke.
Yaani niende leo massage spa halafu nichague mwanaume anifanyie massage?
Mleta uzi una akili?
Ukifanya ya ajabu na wengine wafanye ya ajabu?Tujarib uni kuheshimu majukumu ya mtu wewe UNAFANYA mangapi ya ajabu?
Uislam sio jinaNilikuambia Waislamu wako Afghanistan 🐼