Nao hawajui customer care za bongo zinaendana angalau kwa kujua kimombo lakini sio kazi,mi nilitarajia CC wa kwenye sehemu za technical thing qwangekaa watu wenye angalau uelewa wa mambo ya kiufundi ambayo ndio msingi mkuu wa kazi,ni ajabu kwa mfano CC wa benki asijue mambo ya benki pale mteja anapotaka usaidizi,lakini kwenye makampuni ya simu imekuwa kawaida watu wa CC hawajui hicho zaidi ya "whatzup nyingi''