Siwaamini marais wa Africa hata siku moja,wakijidai wamepunguza mishahara yao basi ujue;
Atachukua 10% ya kila mita ya barabara itakayojengwa nchin
Atachukua rushwa kwa kila mradi nchini
Manunuzi ya silaha lazima yawe na mgao wake
Mwishowe atamtuma mwanae kwenda Stanbic na sandarusi kuchukua mgao wa Escrow in $$$$$