Kama uharibifu wa viwanda vyao kwa O zone unatuathiri huku mbali, iweje upumzike wakiingia vitani? Usishabikie vita, kwa sababu, hakuna maendeleo yaliyofanywa yatakayobaki!

Usipohangaika na maisha, maisha yatahangaika na wewe na mwishowe bado utajikuta unahangaika nayo! Huna haja ya kukata tamaa! Endelea kupambana ila vita, usiiombee!