matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,373
Kwani wanaopinga huo ushoga we unawaelewaje?Ushoga sijawi kuelewa wanao utetea
wachaga wamefanya nini kwenye huo upuuzi...?wachaga mpo.?
Hadi sasa waarabu ndio wamebaki kupinga.
Waarabu wa Isis waliwapa vipondo mashoga huko monsul enzi zile.
Wamnaupinga wazi na Kwa vitendo. Hata magaidi licha ya ugaidi wao ushoga haupewi fursa.
Niliamini Kwa sababu na houseboy wengi wa watu wa bata Asia walituhumiwa kuliwa kinyume na mnyumbuliko wao kimaumbile.
Mungu bariki waarabu , laani Wazungu Kwa hoja hii. Waarabu nimegundua suala la ushoga ni chekechea Kwa Wazungu.
Dhambi uifanyayo kwa siri ni rahisi Mungu akakusamehe kuliko ile uifanyayo hadharani, kuipromote na kuitetea na kuitangazia ifanyike.Waarab wanapenda sana huo mchezo hasa kuwafanyia wanawake waliojazia, ila verbally wanapinga sana tena utasikia laana kabisa hiyoo ila in practice ndio mafirauni.!😅