Zamani nikiwa mdogo nilijua ushoga ni tabia ya waarabu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,278
14,514
Hadi sasa waarabu ndio wamebaki kupinga.
Waarabu wa Isis waliwapa vipondo mashoga huko monsul enzi zile.
Wamnaupinga wazi na Kwa vitendo. Hata magaidi licha ya ugaidi wao ushoga haupewi fursa.
Niliamini Kwa sababu na houseboy wengi wa watu wa bata Asia walituhumiwa kuliwa kinyume na mnyumbuliko wao kimaumbile.
Mungu bariki waarabu , laani Wazungu Kwa hoja hii. Waarabu nimegundua suala la ushoga ni chekechea Kwa Wazungu.
 
Waarab wanapenda sana huo mchezo hasa kuwafanyia wanawake waliojazia, ila verbally wanapinga sana tena utasikia laana kabisa hiyoo ila in practice ndio mafirauni.!😅
 
Propaganda za uwongo ndio misingi ya kuchafua maadui zako au watu usiowapenda. Tulilishwa vitu kama hivo ili tuwaone waarabu ni watu wabaya. si hayo tu kuna na mengine mengi tulilishwa.
 
Waarab wanapenda sana huo mchezo hasa kuwafanyia wanawake waliojazia, ila verbally wanapinga sana tena utasikia laana kabisa hiyoo ila in practice ndio mafirauni.!😅
Dhambi uifanyayo kwa siri ni rahisi Mungu akakusamehe kuliko ile uifanyayo hadharani, kuipromote na kuitetea na kuitangazia ifanyike.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom