Georgemkali wao Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 180 Reaction score 118 Oct 10, 2016 #1 Hayo yamesemwa leo katika maadhimisho ya siku ya walemavu wa akili duniani. Maadhimisho hayo yamefanyika Mirembe. Bangi ni kati ya madawa ya kulevya yanayoongeza kwa kasi ongezeko la walemavu wa akili sababu inapatikana Kirahisi.
Hayo yamesemwa leo katika maadhimisho ya siku ya walemavu wa akili duniani. Maadhimisho hayo yamefanyika Mirembe. Bangi ni kati ya madawa ya kulevya yanayoongeza kwa kasi ongezeko la walemavu wa akili sababu inapatikana Kirahisi.
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,227 Reaction score 5,902 Oct 10, 2016 #2 Darisalama tena🙁🙁
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Oct 10, 2016 #3 Ndio maana...
Kaputula La Marx JF-Expert Member Joined Mar 28, 2015 Posts 562 Reaction score 500 Oct 10, 2016 #4 Dar kazi wanayo kila kitu wao
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Oct 10, 2016 #5 Mbona hatuwaoni?
Georgemkali wao Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 180 Reaction score 118 Oct 10, 2016 Thread starter #6 maringeni said: Mbona hatuwaoni? Au wewe ndo mgonjwa? Click to expand... Utafiti umefanywa na hayo yameelezwa Leo Source:Itv habari
maringeni said: Mbona hatuwaoni? Au wewe ndo mgonjwa? Click to expand... Utafiti umefanywa na hayo yameelezwa Leo Source:Itv habari
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,546 Reaction score 45,086 Oct 10, 2016 #7 Kazi kweli kweli
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,945 Reaction score 23,890 Oct 10, 2016 #8 Unakula chips unavuta Bangii.....
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Oct 10, 2016 #9 Kwa sababu wafanyabishara wa mikoni hasa WAKINGA wanaloga ndugu zao ili biashara zao zifanikiwe ndo wale tunawaona town na kitaaa
Kwa sababu wafanyabishara wa mikoni hasa WAKINGA wanaloga ndugu zao ili biashara zao zifanikiwe ndo wale tunawaona town na kitaaa
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,519 Oct 10, 2016 #10 Ndio maana....
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,505 Reaction score 2,745 Oct 10, 2016 #11 Nilikuwa najua, Tabora iko namba moja maana machizi wamejaa
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,010 Oct 11, 2016 #13 tafiti zinasema bangi haisababishi kichaa bali watu wenye vinasaba (genes) na risk factors za kuwa vichaa ndiyo hupendelea kuvuta bangi. kwahiyo ''kichaa'' ni moja ya sababu watu huvuta bangi.
tafiti zinasema bangi haisababishi kichaa bali watu wenye vinasaba (genes) na risk factors za kuwa vichaa ndiyo hupendelea kuvuta bangi. kwahiyo ''kichaa'' ni moja ya sababu watu huvuta bangi.