Zaidi ya Love Garden!!!

Kah NAPITA hii itakuwa ni wewe mwenyewe nenda saluni
 
Last edited by a moderator:
Dah, huu mchezo bado unaendelea mpaka leo? Nakumbuka miaka ya 80 wakati bado tuko shule ya msingi tulikuwa tunakwenda kwa vinyozi chini ya mwembe na kuokota nywele za watu na kuziloweka kubandika mavuzi na kifuani pamoja na kwapani ili tuonekane wakubwa kwa mademu. Dah, kweli kila tukio linajirudia lenyewe. Long live the 80's.
 
uyu akiingia saluni atamaliza unit zote za luku.
 

Nyie mlikuwa noma sana ha!ha!ha!
 
Hapa naona jamaa anaugonjwa wamanyani
 
Huyu atamaliza Sabuni wakati wa kuoga!!
Bora awe anapitisha ile Mashine ya kusafishia Makapeti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…