Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?Nilishalima pahala, manara ni msaka huruma za watumia Tecno za 70,000. Simba wanatafuta sababu tu za kujishikiza wakipigwa waseme mwinyi kawahujumu.
Barafu la moto
Sa kama bogus mnamfuatilia wanini? Si mumuache na ubogus wake? Au anakula kwenu?Mwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?
.
Kocha mwenye CV ya maana hawezi kuwa kama huyo bogus.
Aisee! Nyie washabiki maandazi ni wa Manara na sio Simba.Tukiwafunga Hawa Mbilikimo huyo Zahera Atatukoma Sie Washabiki Maandazi
Tulia dawa iwaingie kesho, MundendeNdo hasara ya kusajili kocha muafrika, yaani jamaa kakaa kiporojo zaidi kuliko soka. Juzi kati hapo kabwata kua wanachama wa yanga hawana msaada wowote kwenye timu yao
Sent using unknown device
Labda mfunge KwaresmaTukiwafunga Hawa Mbilikimo huyo Zahera Atatukoma Sie Washabiki Maandazi
Utaelewa kesho saa3 usikuMwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?
.
Kocha mwenye CV ya maana hawezi kuwa kama huyo bogus.