NAHITAJI KUJIIINGIZA BIASHARA YA TAX BODA BODA NA BAJAAJ. MWENYE UZOOEFU NA HIZI BIAASHARA ANIPE CHANGAMOTO. NA JE HESABU NI BEI GANI KWA BODABODA. TAX NA BAJAJ HATA KIRIKUU.
Nahitaji kujiingiza kwenye biashara ya Taxi,Bodaboda na Bajaj. Mwenye uzoefu na hizi biashara anipe uzoefu kidogo . Na hesabu ni bei gani kwa Bodaboda, Taxi na Bajaj hata Kirikuu.

Hapo mkuu nime-copy tu? Kweli kuna makosa watu wanafanya na hawajui kama ni makosa...na mbaya zaidi ukimrebisha hatajua unachomaanisha na atakushambulia vibaya mno.