Jambo la kusikitisha
Watanzania wangapi walioshiriki katika tendo la kumtoa uhai huyo kibaka ambao wanaishi bila ya kutenda uhalifu.
Miungoni wa Waliompiga bila ya shaka ni wezi au vibaka wenzake.
Tunatakiwa kuwa na fikra za kina na kujiuliza kutoa uhai na kuripoti kwa kujivuna namna hii . Je imani zetu katika Dini zetu iko juu kwa kiwango gani.
Sina sababu ya kutetea wezi lakini napiga yowe kuwaombea nusra wale wenye kuchukua hatua mkononi mbele ya Muumba.