Kwa route ya kusini hata
iweje zile engine za lorry za wahidas awapite Buti la Zungu, Machinga,
Najma,Hamanju hawa jamaa wanamagar ya kichina yanatembea hatari. Ila
kulikuwa na Scania moja likiitwa Mtwara raha, nakuhakikishia hawa wote
na Yutong zao wangesoma plate number. MTWARA RAHA ilikuwa ni subscania
inatembea ajabu. Kwa wakazi wa Mtwara na wenyeji wa njia ya kusini kwa
ujumla wanalifahamu hili basi, wanaweza kuhadithia vizuri(the big
show,sizinga) watusaidie. Hivyo kiuimara scania ni the best
Kwa Mtwara Raha, nakumbuka wakati barabara iko mbovu ilikuwa inaingia Mtwara saa7, na kuna siku ilikuja Dar na kugeuza Mtwara,ilifika saa 2 usiku. Ilikuwa inatembea kaka! Wakaizuia utaratib wa kwenda
Scania zinauzwa bei ghari bei yake ni karibu marambili ya ile ya yutong Na kitu kingine msifanganywe eti yutong zinakimbia tafuta Reina tours upande au enzi za Allys sports mwanza ilikuwa saa moja jioni mshafika. Ubaya wa yutong ikinyesha mvua utaipata inabyoteleza
me natumia route ya dar mbeya/ mbeya dar frequently, ebwana wacha mchezo kwa scania. yutong nyingi zinachemka milimani lakini scania mwendo mdundo, happy nation ndo gari inayoongoza kwa kutembea route ile na ni scania.jamani,
hiyo safari ya mbali inayochemka yutong ni ipi?
dar to mza?
dar to songea?
dara to mbeya?
dar to arusha?
mnajua ni aina gani ya basi zmeshika hzo njia?
au mnazungumzia route za kigoma na bukoba?
mnajua aina gani ya gari zinaenda kigoma na bukoba?
1.mmewahi kujiuliza ni kwanini znaenda huko?
2.je?zilianzia huko au zimeenda huko baada ya kutumika sehemu nyingne?
hii pia inawahusu ndugu zetu wa lindi na mtwara japo siwaweki miongoni mwa safari ndefu.
kwa ishu ya usafirishaji wa abiria, yutong ni gari ya biashara!
Kwa Mtwara Raha, nakumbuka wakati barabara iko mbovu ilikuwa inaingia Mtwara saa7, na kuna siku ilikuja Dar na kugeuza Mtwara,ilifika saa 2 usiku. Ilikuwa inatembea kaka! Wakaizuia utaratib wa kwenda
Scania zinauzwa bei ghari bei yake ni karibu marambili ya ile ya yutong Na kitu kingine msifanganywe eti yutong zinakimbia tafuta Reina tours upande au enzi za Allys sports mwanza ilikuwa saa moja jioni mshafika. Ubaya wa yutong ikinyesha mvua utaipata inabyoteleza
Sorry huyu jamaa gari zake kafunga injini ya nini?maana hata scania wenzake wakiiona tu wanakaa
pembeni,naifahamu ile ya dar-kahama,hakuna yutong yeyote can stand this fcuking monster.
Landcruiser yenyewe tu inalalamika kukimbizana na hii gari.

Kwa Mtwara Raha, nakumbuka wakati barabara iko mbovu ilikuwa inaingia Mtwara saa7, na kuna siku ilikuja Dar na kugeuza Mtwara,ilifika saa 2 usiku. Ilikuwa inatembea kaka! Wakaizuia utaratib wa kwenda na kugeuza.
Yutong zinabuma sana,nzuri zikiwa mpya,kosa kubwa kuilinganisha na scania,mkuu labda daf cf