Nimekuwa nikijaribu kufuatilia utendaji wa Yusuph Makamba na Nape Moses Nnauye....hawa watu wanasifa zinazofanana kabisa hizi ni mojawapo
Uropokaji
Kutumia maneno yasiyo na adabu(Uswahili)
Uwezo mdogo wa kuongoza..
Wanaongea kwa kutumia nguvu sana,yaani wanatumia misauti mikubwa kila waongeapo...
Wanafiki,wanauma huku na kupoza huku...
uwezo mdogo wa kujenga hoja na kuitetea....
Kutetea upuuzi bila kuwa na uhakika na waongeacho...
Hasira na jazba wanapoombwa kutoa ufafanuzi kwa baadhi ya mambo..
Wanafanya kazi ya kuibomoa CCM bila kujua au kwa kujua...
Wote ni maji ya kunde(weupe) japo nasikia Nape ni mkorogo japo sina uhakika
Kwa sifa hizi Nape ni zigo kubwa kwa CCM kuliko hata Makamba,na alipotoka Makamba niliuzunika sana nikaona tumemkosa muuaji wa CCM lol!! Kumbe Mungu katuandalia kijana mwenye uwezo mdogo sana kiakili ili kutusaidia kwenye ukombozi......