The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
hahaha. inawezekana unachosema unakiamin kuwa kiko hivyo. kama mimi ni div.5 na wewe ni darasa la saba, unafikiri unao uwezo wa kunitathimini mimi kweli? au?ngoja nikuache uamini hvyohivyo ili uridhike na wewe ujione mtu.Sio tatizo lako....manake akili za Div 5 huhitaji kuuliza mara mbili...ni akili finyu tu ndio inakusumbua
Karim Besta alishatangulia....?????