chemistoftz
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 111
- 52
Ahsante kakaAfadhal kwanza jina lako ni Juma.
Mwanamke huolewa kwa mambo manne.
-Nasaba yake
-Mali yake
-Uzuri wake
- Dini
Chagua mwenye dini upate kufanikiwa,,hao wawili angalia nani amemzidi mwenzie dini na utu,kuhusu elim..kua na elimu haimaanishi kua na hela,rizki anaetoa ni Mungu pekee.
Anaeza akawa hajasoma kama mwenzie lakini akawa mwingi wa fikra na ana mipango endelevu.
Hakika dunia ni starehe,na starehe bora ni kupata mke mwema.Kila la Kheri Mkuu.
Sure kaka....namhofiaJuma bana acha hizo mke hachaguliwi kulingana na kiwango cha elimu yake bali tabia,nidhamu nzuri.
Inaonekana unamhofia sana wa degree either huna elimu kama yake au ana ajira ya kipato kinachokupa mchecheto
Sure kaka....namhofia
Ila nashkuru kwa mchango wako ntaufanyia kazi
Je! Dada zako nao wamesoma elimu ya kutosha nao waje kibaguliwa wakati wakuolewa? Kwa taarifa yako ndoa nyingi za wote wasomi ni ligi ndogo umbabaishe nani wakati wote tuna elimu? Elimu kitu kingine na ndoa jambo lingineHabari zenu wapendwa..natafuta mke
Nahitaji kujua yupi ni mke sahihi kati ya huyu mwenye degree na huyu ambaye aliishia form four na akafeli
Kwa ufahamu wangu nlionao, ili kuwa na familia bora na yenye mafanikio ni vzuri kuwa na mke mwenye elimu ya kutosha
Namaanisha kwamba watoto wangu ntakaozaa wasijepata shida kipindi nitakapotangulia mbele ya haki
Naombeni mchango wenu
Kwani wahenga walisema "kosea njia utaelekezwa ila usikosee kuoa"
Seriously
Naombeni mawazo yenu
Me in dada jmn,,,avatar yngu tu inaonyesha!Ahsante kaka
ThanxNimekua na mama alieishia darasa la saba na mimi niko brilliant as ever! Mama ndo ananipa moyo sana katika masuala ya elimu.
Ko haijalishi kiwango cha elimu, wewe oa unaeona anakufaa
Am so sorryMie sio kaka wala baba ni dada,mama,bibi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unapotaka kuoa ni vizuri ukaangalia na nguvu kama mojawapo ya sifa kuu za mwanamke maana mambo yakienda kombo anaweza shika hata jembe au kumwaga zege.sio unaoa mwanamke mrembo legelege ambaye ukimsimamisha juan dakika tano anaugua
Sina DadaJe! Dada zako nao wamesoma elimu ya kutosha nao waje kibaguliwa wakati wakuolewa? Kwa taarifa yako ndoa nyingi za wote wasomi ni ligi ndogo umbabaishe nani wakati wote tuna elimu? Elimu kitu kingine na ndoa jambo lingine
Am so sorryMe in dada jmn,,,avatar yngu tu inaonyesha!