Nasemaje.....
Mimi kama Mshabiki No. 1 wa Mnyama a.k.a Simba Sports Club kwa niaba ya mashabiki wenzangu,wanachama na Viongozi wote, kesho tukifungwa hatukubali kwasababu zifuatazo:-
1. Okwi wetu kutocheza,
2. Maftah wetu ku'miss pia,
3. Mwenyekiti wa Yanga peke yake kuwa na hela nyingi kuliko Mwenyekiti wetu changanya na Viongozi na wafadhili
wengine wa team yetu.