Mkuu mie naona tabia ndio jambo la msingi zaid kuangalia, anaweza akawa hana kazi bt kwakuwa tabia zake mbov kila siku kwenye kigodoro, kutwa vibarazani mwa watu.. Umeenda kazin yee hukunyuma ni vidume tu inside au akawa poa kama tabia fresh, pia anaweza akawa kazi anayo lakin majanga pia, km ana tabia ya uchoyo jee chake chake, anafaida gani na kazi yake, hana upendo, hakujali kisa kazi yake, kisa kazi hakuheshimu, kazin michepuko ya kutosha, kama mkuu mmoja hivi alituhadithia humu ile anaingia ofisin tu mchizi anapiga kofi tako la wife. Ila kama anakujali, anakuthami, i mean tabia zake njema pamoja na kazi yake anafaa pia.. Xo tabia muhimuWadau poleni na swaumu,
Jamani naombeni kujua mke mzuri ni yupi?mwenye kazi au asie na kazi?achana na tabia tuangalie upande huo,je kuna faida au hasara ya kuwa na mtu ambaye ana kazi au hana.....
Najua vijana wengi tunapenda wasichana wenye kazi ila vipi kama hana kazi waweza kuoa?nahitaji mrejesho kwa wale walioa wenye kazi watupe changamoto zao na wasio na kazi vile vile.
Asanteni na karibuni
Sure kaka...cha msingi heshimaIkiwa wewe ni mwanaume na unatafuta mwenza wa maisha basi sifa kuu inatakiwa awe wa kike kwa kuwa ndiyo kigezo cha msingi, swala la kuwa na kazi ama kutokuwa nayo hiyo ni sifa ya ziada kwa kuwa kwako hakuja kuaply kazi!
Hahahaha....hapo ndo nachoka demu kupgwa tako na bosi....Mkuu mie naona tabia ndio jambo la msingi zaid kuangalia, anaweza akawa hana kazi bt kwakuwa tabia zake mbov kila siku kwenye kigodoro, kutwa vibarazani mwa watu.. Umeenda kazin yee hukunyuma ni vidume tu inside au akawa poa kama tabia fresh, pia anaweza akawa kazi anayo lakin majanga pia, km ana tabia ya uchoyo jee chake chake, anafaida gani na kazi yake, hana upendo, hakujali kisa kazi yake, kisa kazi hakuheshimu, kazin michepuko ya kutosha, kama mkuu mmoja hivi alituhadithia humu ile anaingia ofisin tu mchizi anapiga kofi tako la wife. Ila kama anakujali, anakuthami, i mean tabia zake njema pamoja na kazi yake anafaa pia.. Xo tabia muhimu
Kwahiyo walioa wenye kazi wanakwepa majukumu yao au nimekuelewa vibayaKama unataka kukwepa majukumu ya kutoa huduma za msingi kwa mkeo km kununua ch...p na mengineyo oa mfanyakazi ila km unataka kuoneka kidume kwako kwa kuwajibika kwenye family km mwanaume rijali oa asiye na kazi