Ddahhh nammiss sana o-tenSawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
Namkumbuka dada yake alijiua akiwa anasoma forest hill secondary. Ilikua huzuni kubwa shuleni.Hata Mimi namtafuta sana philipho nyandindi
OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana
Maisha bwana! East Coast team enzi hizo wanawaaminisha watu wao wa kishua wanakaa Upanga, kumbe wengi wanakaa kwa ndugu zao wanalala Sebuleni nyumba za Msajili!!Sasa ivi anapiga bodaboda ukibisha utakua mchawi na mwenzie 20 p wamechoka mbaya jion utawakuta forest kuna kama studio ivi
Sidhani kama atarudi kwa maelezo kumtu kama hayoSawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
Sio mitumba,nich3ck nipo super market na war3mbo kibao yo look at me! Nicheki....[HASHTAG]#Whatthegame'sbeenmissing[/HASHTAG].Mwendo ni Andi1.....
Ila Afande anajielewa aisee na ana maisha yaliyosimama ya kiungwana angalau.OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana
Uko vzr kamanda[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji3]Sio mitumba,nich3ck nipo super market na war3mbo kibao yo look at me! Nicheki....[HASHTAG]#Whatthegame'sbeenmissing[/HASHTAG].
Ni Kweli Maana Ana Nyumba Kule Misufini! Karibu Na Hostel Mpya Za SUA! But Hana Deal!! Last Time Nilikuwa Nae Ku Claim Mikeka. Tatizo Anakula Sana BangeIla Afande anajielewa aisee na ana maisha yaliyosimama ya kiungwana angalau.
Hivi uko siriaz ulichokiandika?[emoji1], Nyandindi hajawahi kuwa rapa bora, labda ungesema rapa mjanjamjanjaRapa bora wa muda wote,Jamaa was good.Hivi kina FA na AY kwanini wasiwekeze kwenye hiki kipaji?
Au ndio roho mbaya!
....Napenda sana mademu....Napenda sana pombe yaaan kiufupi napenda kujirusha.....
Kwa mistari hiyo unategemea mtu kama huyo awe wapi muda huu?[/QUOTE
Watu mnamaneno sana humu jamvini. Nisehemu moja wapo ya kuondoa stress zangu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]
Uongo uko wapi hapo sasa? Yuko Moro, na kapigika, dogo wangu mmoja alimzingua baada ya kumlazimisha amnunulie bapa wakati enzi zake alijifanya hamjui kwenye tamasha lake Jamhuri. Yuko Moro na ni choka mbaya.una kipaji cha kutunga uongo
crazy gk wakishua kweli..hao wengne labdaMaisha bwana! East Coast team enzi hizo wanawaaminisha watu wao wa kishua wanakaa Upanga, kumbe wengi wanakaa kwa ndugu zao wanalala Sebuleni nyumba za Msajili!!
Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana helacrazy gk wakishua kweli..hao wengne labda
...kwahiyo inakuuma mpaka leoMaisha bwana! East Coast team enzi hizo wanawaaminisha watu wao wa kishua wanakaa Upanga, kumbe wengi wanakaa kwa ndugu zao wanalala Sebuleni nyumba za Msajili!!
Mkuu Alishaelewa Huyu!!! Achan NaeUongo uko wapi hapo sasa? Yuko Moro, na kapigika, dogo wangu mmoja alimzingua baada ya kumlazimisha amnunulie bapa wakati enzi zake alijifanya hamjui kwenye tamasha lake Jamhuri. Yuko Moro na ni choka mbaya.
We dogo nakujuwa.Mi namwonaga kwa Saidi Mpare hapo hapo Sabasaba akigonga viroba tu, sijui anatokaga navyo wapi wakati vimepigwa marufuku
We dogo nakujuwa.Mi namwonaga kwa Saidi Mpare hapo hapo Sabasaba akigonga viroba tu, sijui anatokaga navyo wapi wakati vimepigwa marufuku