Huyu dada cha ajabu haringi niliwahi muona coco beach walikua wanatengeneza kipindi na TBC nikafanya kumuongelesha mtoto yupo fresh hana pozi hata moja yani full kutoa ushirikiano...ila nilishangaa kumkuta kwamba ni mfupi..