mtafuta-maisha JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 1,982 Reaction score 2,934 May 27, 2018 #1 Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki.
Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,398 Reaction score 88,843 May 27, 2018 #2 Yuko sana nje anapiga show huko.
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 May 27, 2018 #3 Mzigua90 said: Yuko sana nje anapiga show huko. Click to expand... Afee
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,729 May 27, 2018 #4 Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua.... Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto.... Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika....
Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua.... Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto.... Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika....
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,064 May 27, 2018 #5 Mwenye picha tafadhali
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,290 Reaction score 29,930 May 27, 2018 #6 Kumbe tupo wengi tunaomwelewa malaika.Ni mtamuuuu
Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,795 May 27, 2018 #7 tamuuuuu said: Kumbe tupo wengi tunaomwelewa malaika.Ni mtamuuuu Click to expand... Kama Nandu vile?😀😀😀😀😀😀
tamuuuuu said: Kumbe tupo wengi tunaomwelewa malaika.Ni mtamuuuu Click to expand... Kama Nandu vile?😀😀😀😀😀😀
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 May 27, 2018 #8 Mzigua90 said: Yuko sana nje anapiga show huko. Click to expand... Baby naona kila kitu unafatilia.
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 May 27, 2018 #9 theriogenology said: Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua.... Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto.... Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika.... Click to expand... Anachomiliki ni kipi hasa...?
theriogenology said: Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua.... Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto.... Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika.... Click to expand... Anachomiliki ni kipi hasa...?
MTINGIJOLI JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 1,460 Reaction score 1,476 May 27, 2018 #10 Shida na raha said: Anachomiliki ni kipi hasa...? Click to expand... Ana Chura
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,358 Reaction score 5,845 May 27, 2018 #11 Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
mtafuta-maisha JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 1,982 Reaction score 2,934 May 27, 2018 Thread starter #12
MTINGIJOLI JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 1,460 Reaction score 1,476 May 27, 2018 #13 Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... Mkuu Hujafa Hujaumbika, Acha Kuita Binadamu Wenzio Kitu Cha Ajabu
Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... Mkuu Hujafa Hujaumbika, Acha Kuita Binadamu Wenzio Kitu Cha Ajabu
The Who JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 545 Reaction score 953 May 27, 2018 #14 Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... Muogope Mungu wewe
Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... Muogope Mungu wewe
Mo-Reece JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 223 Reaction score 258 May 27, 2018 #15 mtafuta-maisha said: Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki. Click to expand... Yupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongo Akaona aende kwa Mnyamwezi promota Dmk global
mtafuta-maisha said: Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana. Au kaacha mziki. Click to expand... Yupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongo Akaona aende kwa Mnyamwezi promota Dmk global
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,631 Reaction score 38,743 May 28, 2018 #16 Huyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu
Tajiri mpole JF-Expert Member Joined Apr 15, 2018 Posts 3,127 Reaction score 6,090 May 28, 2018 #17 hazard cfc said: Huyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu Click to expand... Kumbe Mchaga? Nilidhani kanda ya kati. Mana anahulka za sepetu...
hazard cfc said: Huyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu Click to expand... Kumbe Mchaga? Nilidhani kanda ya kati. Mana anahulka za sepetu...
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,985 May 28, 2018 #18 Hivi Malaika ni Muhayaa?
mtafuta-maisha JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 1,982 Reaction score 2,934 May 28, 2018 Thread starter #19 anophelesi said: Hivi Malaika ni Muhayaa? Click to expand... Yule atakuwa mhaya au mnyambo niliwahi sikia historia yake chimbuko lake ni kagera
anophelesi said: Hivi Malaika ni Muhayaa? Click to expand... Yule atakuwa mhaya au mnyambo niliwahi sikia historia yake chimbuko lake ni kagera
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,909 Reaction score 15,949 May 28, 2018 #20 Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interview
Turnkey said: Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana Click to expand... ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interview