Wakuu huyu dada sijamuona siku nyingi bungeni na hata uraiani
Namkumbuka sana wakati alivyomuumbua ngeleja alivyojaribu kuchangisha taasisi za serekali zilizochini ya wizara ya nishati na madini pesa ili apitishe bajeti yake..
Nilimuona anafaa kuwa mpambanaji ghafla akazimika
Kuna anayejua alipo??
yuko #teamlowassa , ukisoma mwananchi la leo 31/5/15 ukurasa wa 3 ni mmoja wa wabunge waliokodiwa ndege to dom kwenda arusha kwenye safari ya matumaini!!!
na pia alioteshwa na T.B joshua rais baada ya JK ni lowassa.
Nimemwona gazeti la mwananchi kama amezeeka ghafla anaonekana kama bibi au anasumbuliwa na kitu???