K kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,818 Reaction score 7,484 Mar 28, 2021 #41 Watu umri umewaenda wanapumzika unamuulizia wanini sasa?? Nenda kaulize ofisi za chama au nenda kwake Vunjo!
Watu umri umewaenda wanapumzika unamuulizia wanini sasa?? Nenda kaulize ofisi za chama au nenda kwake Vunjo!
CHIBURABANU JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 2,915 Reaction score 3,475 Mar 28, 2021 #42 UPOPO said: Mrema yuko wapi jamani .Mzee wa kiraracha sijamwona hata kuomboleza kilo cha Magu Click to expand... Ahaahaa umenikumbusha majina ya mitaa huko Marangu eti Kiraracha, kuna Lyasomboro, Kinuka Mori, etc
UPOPO said: Mrema yuko wapi jamani .Mzee wa kiraracha sijamwona hata kuomboleza kilo cha Magu Click to expand... Ahaahaa umenikumbusha majina ya mitaa huko Marangu eti Kiraracha, kuna Lyasomboro, Kinuka Mori, etc
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,973 Reaction score 75,055 Mar 28, 2021 #43 Yuko anauguza kifaduro chake huko Kiraracha