Yuko njiapanda

😂 😂
Shucks..!! Kuna watu wana mioyo migumu mno jamani, sasa huo si unyama!? Kama ameamua kweli kufanya mambo yake ajitahidi tu akafanyie mbali, kuletea kimada ndani ya nyumba hiyo ni 'dharau' sana..!!

Hawa waume zetu wakuwe na huruma tu na sisi wakati mwingine.! tunawapenda kweli etii.!!
 
Wakafanyie mbali ili watumie gharama zi ziada na kujibana bana?.

Nimekumbuka nilisoma kisa kimoja... Sikumbuki ni wapi.

Mwanaume alimtambulisha girlfriend wake kwa sugar mamy wake. Girlfriend akatambulishwa kama yule ni mama mzazi wa mwanaume. Basi bibie tena kujipendekeza kwa mama mkwe kila siku anaenda anafanya usafi na kupika na kumsalimia akiwa amepiga magoti kwa heshima zote.

Siku anakuja kugundua sio mama mkwe ni sugermumy wa boyfriend wake alichoka.
 
Umenena vyema sana mkuu, hata Mimi huyu jamaa huwa namuelewa sana,
Yan anaonekana huwa hana mda kabisa na hawa viumbe japo sijui reality yake huko!
Mtoa Uzi asiendelee na huyo kima najua huyo boy wake wa ng'ambo hawatacheleweshana kumwagana.
Muache aendelee na mtu aliyemchagua mkuu.

Kuna muda namuelewaga sana MLEVi Mmoja
 
Mkuu, mbona namimi nipo hapa njia panda ya kuelekea mipango..!!??
 
Hahaa..!!
Nimecheka kwa huzuni...
Kuliko unifanyie haya yote si bora 'muninyonge'..!
 
Hii ni chai.Huwezi kuwa unaenda kuchepuka utoe taarifa zote hizo,Asingekuambia anakuja dar ungejuaje?Asingekutajia Hoteli ungejuaje.You have twisted something somewhere.
 
Kitendo cha kublock namba yake na kutaka kumwambia huyo mrembo aje achukue kila kilichochake,hapo yaonyesha umeshafanya maamuzi tayari.

Muache aende,utapata mwingine
 
Hii haiwezekani.

Yaani naenda kuchepuka na ninataja hadi eneo la kuchepukia? Si na hiyo simu ningeiacha on tu ili nikuelekeze chumba mwenyewe ukifika unibip nikufungulie mlango?

Urongo.


Nlifkiri nimeliona hili pekeyangu, yaani nichepuke na location nikupe?
 
Maamuzi uliyoyafanya ni ya busara sana tuliza akili hasira zikipungua muite aje afuate vitu vyake mlikutana kimjini mjini achaneni kimjini mjini.
Ushauri konki sana huu!
 
DUUUUUUUH...bora lakini umejionea mapema..Piga chini
😱😱😱🙁🙁
 
Ukishaambiwa simu itazima chaji ujue kwisha habari yako, simu yenyewe infinix batri capacity 6000mAH
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…