Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
duuh. kumbe mtemi kala ban. duh kweli haki iko mbingun tu.
hahahahaha bora alivyokula ban tu alikuwa analeta vitu vya kufikilika sanaduuh. kumbe mtemi kala ban. duh kweli haki iko mbingun tu.
Duh imawezekana kuna kweli. lakin je chama chake hakina viongoz wengine waandamiz waje hapa wamsaidie kurusha mateke labda aondolewe kwenye ban?I think he desrerved it
hata mi nmeshangaa mkuuAisee! Mkuu Deo kisandu kala ban