kwa utafiti wangu nimegundua habari hapo juu itakuwa sio sahii ,kama ni sahii basi kuna watu wanataka kupiga pesa kupitia programme hiyo,kweli programme hiyo hipo lakini addresses walizotuwekea hapo sio sahii,kwa taasisi kubwa kama unesco hawatumii emil binafu kama zilivyo hapo juu na kitu kingine hatuna chuo kinacho itwa public management college hapa magogoni chuo cha magogoni kinaitwa Tanzania Public Service College,kwaiyo najilizisha kwa kusema habari sio sahii.
na nimewawekea link ya habari sahii toka unesco website.
angalizo
1.kwa taasisi ,kwa maana ya NGO na zinginezo habazo sio za biashara ,website zake ,uishia .ORG/OR au .Go kwa Taasisi za serikali.na malanying e-mail uwa niza organization sio za mtu binafsi kama ilivyo hapo juu.yaani e-mail itakuwa ina ishia na org.tz au go.tz .kwa mfano
frankkawamala@myreviews.org.tz or
frankkawamala@myreviews.go.tz
2.kwa za kampuni lazima ziishie na .COM or co.TZ ,lakini kumbuka kuna kampuni hazina website kwahiyo wanatumia e-mail binafusi.kuwa makini
sources;
http://www.unesco.org/new/fileadmin...pplicationsYoungProfessionalProgramme2015.pdf
AU
TEMBELEA
UNESCO | Building peace in the minds of men and women.