Huyu dogo alipokuwa anaulizwa km anamjua mzazi mwenzie anajibu kikavu simjui nimemuona ndezi. Afu akili ya huyu dogo Ni prematureNimeangalia entreview ya mzazi mwenzie na young Dee mpaka machozi yamenitoka, jamaa anajifanya Justin beiber wakat kazalisha mtoto hats huduma hapeleki, mambo mengine mumuachie baba tiffah, kujifanya mastaa kulea mnashindwa mfyuu, kutwa kuuza sura indta na tunda wakat mwanao pa kuna hana, we we mwenyew unagongea kwa boss wako max
Nunua TV kijana uko nyuma SanaYa kweli haya au Makungu
Mana kuna watu walizusha Diamond hamtunzi baba ake kumbe umbea
Hebu tuwekee picha moja tu Diamond akiwa na huyo baba yake.Ya kweli haya au Makungu
Mana kuna watu walizusha Diamond hamtunzi baba ake kumbe umbea
Yes Mamisa amekunywa maji ya hasili mtoto wa kitanga bunti mbichi wa 21 kaangukia kwa wauza nyago insta na midananda midume suruali.Mama wa mtoto mzuri sana. Yani Mamisa angepata matunzo mazuri basi hata huyo tunda angeonekana kituko.
Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.Sperm donors ni wengi, afu siku maisha yakimtmb huko anarudi kutafuta mtoto maneenah
Alafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.