Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,375
Nimeangalia entreview ya mzazi mwenzie na young Dee mpaka machozi yamenitoka, jamaa anajifanya Justin beiber wakat kazalisha mtoto hats huduma hapeleki, mambo mengine mumuachie baba tiffah, kujifanya mastaa kulea mnashindwa mfyuu, kutwa kuuza sura indta na tunda wakat mwanao pa kuna hana, we we mwenyew unagongea kwa boss wako max
 
Huyu dogo alipokuwa anaulizwa km anamjua mzazi mwenzie anajibu kikavu simjui nimemuona ndezi. Afu akili ya huyu dogo Ni premature
 
Mama wa mtoto mzuri sana. Yani Mamisa angepata matunzo mazuri basi hata huyo tunda angeonekana kituko.
Yes Mamisa amekunywa maji ya hasili mtoto wa kitanga bunti mbichi wa 21 kaangukia kwa wauza nyago insta na midananda midume suruali.

Nimeangalia interviews zote ya Young D na mzazi mwenzake, kiukweli mtoto ni wa Young D maana SHILAWADU walimtega vizuri na akaingia king,alikataa kwamba hana mtoto ila wakamuuliza anapenda mtoto gani akasema wa kike me jina gani analipenda akataja Tamar ambalo ndilo alilompa huyo mtoto aliyemkataa.

David Genzi (Young D) please msaidie mzazi mwenzako kama hauna kitu declare SHILAWADU wafanye harambee,sio Poa kumtelekeza mtoto mdogo namna ile, kama ulikuwa haupo tayari kwanini ulikuwa unauza MECHI?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom