E eliah Masige New Member Joined Jul 28, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Oct 21, 2015 #81 Ushindani hapa nchini umebaki yanga na azam, simba na mwadui
ALU255 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,089 Reaction score 2,125 Oct 21, 2015 Thread starter #82 eliah Masige said: Ushindani hapa nchini umebaki yanga na azam, simba na mwadui Click to expand... kweli kabisa yani ukitaka mechi kali na yenye kiwango cha juu ni kati ya azam na yanga sio simba na yanga tena
eliah Masige said: Ushindani hapa nchini umebaki yanga na azam, simba na mwadui Click to expand... kweli kabisa yani ukitaka mechi kali na yenye kiwango cha juu ni kati ya azam na yanga sio simba na yanga tena
E eliah Masige New Member Joined Jul 28, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Oct 21, 2015 #83 Mechi nzuri pia simba na mwadui
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 21, 2015 #84 eliah Masige said: Mechi nzuri pia simba na mwadui Click to expand... Simba v Farudume ndiyo kiboko yao.
eliah Masige said: Mechi nzuri pia simba na mwadui Click to expand... Simba v Farudume ndiyo kiboko yao.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Oct 26, 2015 #85 Makoye Matale said: Nasikitika sana kuwamiss wakuu hawa: Masuke, Katavi, Crashwise na Amavubi. Hata hivyo sisikitiki kulimiss li- grafani11. Click to expand... Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku.
Makoye Matale said: Nasikitika sana kuwamiss wakuu hawa: Masuke, Katavi, Crashwise na Amavubi. Hata hivyo sisikitiki kulimiss li- grafani11. Click to expand... Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Oct 26, 2015 #86 Katavi said: Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku. Click to expand... Karibu sana Mkuu, karibu tena.
Katavi said: Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku. Click to expand... Karibu sana Mkuu, karibu tena.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Nov 20, 2015 #87 Makoye Matale said: Nasikitika sana kuwamiss wakuu hawa: Masuke, Katavi, Crashwise na Amavubi. Hata hivyo sisikitiki kulimiss li- grafani11. Click to expand... Nani anayehitaji kumissiwa na wewe...mke wangu ananitosha. Halafu kuanza jina la mtu na 'Li' unamaanisha nini au ndiyo kuchokoza mzinga wa nyuki wakikung'ata ukimbilie kwa baba yako Invisible ili mashabiki wa Simba wafungiwe au siyo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Makoye Matale said: Nasikitika sana kuwamiss wakuu hawa: Masuke, Katavi, Crashwise na Amavubi. Hata hivyo sisikitiki kulimiss li- grafani11. Click to expand... Nani anayehitaji kumissiwa na wewe...mke wangu ananitosha. Halafu kuanza jina la mtu na 'Li' unamaanisha nini au ndiyo kuchokoza mzinga wa nyuki wakikung'ata ukimbilie kwa baba yako Invisible ili mashabiki wa Simba wafungiwe au siyo?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Nov 20, 2015 #88 Ukuta wa Yanga umeruhusu bao 7-0 kule Algeria