Nadhan ilikua ni changamoto ya kujenga upinzan imara nchini....ni muda wa pande mbili zote (chama na zito) zijaribu kuona namna ya kumaliza ili tatizo kwa upande wa chama ijifunze kusulihisha matatizo yake vzuri na zitto apunguze dharau kwa viongozi n aanze upya kazi ya kukijenga chama bdala ya kufanya na kufkiria mambo binafsi...
Yote ni kwa ujenzi wa taifa letu
Lipo...nadhan kamati kuu ilifanya ilichokiona sahihi ndo maana yakatokea yaliyotokeaLile baraza la wazee linafanya kazi gani?.....au lilikufa baada ya Mzee Makani kufariki. Au nao ni wasaliti kama Zitto?
Lipo...nadhan kamati kuu ilifanya ilichokiona sahihi ndo maana yakatokea yaliyotokea
umenikuna sana Comrade yaani umeisafisha sana roho yangu daaa umeongea mambo makubwa sana......wewe umeona mbali sana naomba niongezee maneno haya kidogo "ni upuuzi kumpatia mtu haki ya kusikilizwa baada ya kupona majeraha ya kutokusikilizwa " asante sana uswe kunipa nafasi.......nitaitunza milele hii article yakoMaamuzi ya mahakama leo ni fundisho kwa watu wanaoshabikia bila kufikiri, ni fundisho kwa watu kama kina yericko nyerere kwamba ni busara kufikiri na sio kukurupuka tu.
Si nia yangu hata chembe kumtetea zitto, lakini pia nitakua mnafiki nikisema ninaelewa wanachojaribu kufanya viongozi wa chadema. tofauti na yericko na wenzake, nitakua mtu wa mwisho kushabikia vitu visivyoeleweka.
huwa nasikia watu huamua kukaa na risasi mwilini kwa sababu kwa eneo hiyo risasi ipo kama wakijaribu kuitoa itamaanisha hao watu kufa, kama tumeishi na zitto toka yuko 16 sijui ni busara ipi inatuambia tumng'oe leo, tena kwa style inayoua chama.
Na siku hizi kuna fallacy kwamba mtu hana akili hadi akubaliane na kila wanachosema viongozi na mashabiki wa CDM
FIKIRI!
.......nitaitunza milele hii article yako