You Better Stay Single....

Ku-sex sio lazima uoe. Naona wengi hamjaelewa hii thread. Ndoa...ule mkataba ndio unaua watu. Unaweza ku-sex hata mara 20 kwa wiki na usiwe umeoa.
Ukiona wengi hawajakuelewa tambua kua, kuna sehemu umekosea katika uwasilishaji wako.
 
Kitabu usipoelewa hujaandikiwa wewe. Waachie wanaoelewa.
Usilazimishe watu kukuelewa,halafu wewe kama mleta mada ulitakiwa kuwafahamisha ambao hawajakuelewa kuliko kuleta kauli za kitoto.
 
Ukiona wengi hawajakuelewa tambua kua, kuna sehemu umekosea katika uwasilishaji wako.
Kitabu usipokielewa,achia wengine. Ningekujibu hivi tangu mwanzo ila i gave u benefit of the doubt. Sasa nimeshakusoma ndio nakusisitizia kitabu usipokielewa hukuandikiwa wewe waachie wengine.
 
Usilazimishe watu kukuelewa,halafu wewe kama mleta mada ulitakiwa kuwafahamisha ambao hawajakuelewa kuliko kuleta kauli za kitoto.
Watu akina nani? Ni wewe tu ndio umeamua kuleta utoto wako hapa, na ninakujibu unachostahili. Hujishangai peke yako ndio unaleta nongwa hapa.
 
Kitabu usipokielewa,achia wengine. Ningekujibu hivi tangu mwanzo ila i gave u benefit of the doubt. Sasa nimeshakusoma ndio nakusisitizia kitabu usipokielewa hukuandikiwa wewe waachie wengine.
Unaweza kuleta scientific evidence kua mtu aliye single anakua na maisha marefu zaidi kuliko aliye owa? au umeanzisha tu mada bila kufanya tafiti?
 
Stress zinakusumbua, jibu langu la mwisho kwako.
 
Watu akina nani? Ni wewe tu ndio umeamua kuleta utoto wako hapa, na ninakujibu unachostahili. Hujishangai peke yako ndio unaleta nongwa hapa.
Kumbe ni mwepesi wa kusahau eeh? soma comment yako # 20 wewe mwenyewe umekubali/umeona kua wengi hawajakuelewa,kasome hiyo comment yako kwanza.
 
Kwahiyo huyo Moi naye kama baba yake angeamua kukaa single tu,huyo Moi angezaliwa na nani?angekua kwenye hii dunia? wewe mzazi wako wa kiume angeamua kukaa single ungekuwepo leo hii kwenye hii dunia? kungekua na hii thread?
Unaweza kuwa single na ukazaa, kuwa single haina maana kwamba hufanyi mapenzi
 
Mjinga anajiona mjuaji huyo achana nae. Katika wote waliopitia hii thread yeye ndio ameona imekosewa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…