"Ye ndio Chombo ya fundi mi naitengeneza ,sina shaka kwenye spea mi namwaga fedha,ananifanya fanya nakesha huku nasaka saka mapesa ,sitaki apate tabu nami namdekeza, akinipa nacheza game huku namchombeza siwezi kuishi na demu mwingine zaidi yake,"
yna2 baby i can't live without you hilo naomba utambue,kila nikiwa napika kiepe yai pale ninapokigeuza naona kwa mbali sura yako pamoja na tabasamu lako zurii lenye muonekano wa kimalaika,
Najua unajua ni kitu gani kinaongoza kwa kupendwa kwenye mapenzi ni sex tu, siku ya kwanza unajibu ombi langu sikuwa na wazo jingine zaidi ya kutamani kiss toka kwako,
Uliposogea karibu na kunikisss nikatamani japo unikumbatie na kunipa penzi lako hakika u're so hot and Romantic,
I love u today ,tomorrow and day after day,
Unajua nini baby a'm in love with u pliz don't leave me Alone.
Unaweza ukanihaidi hapa kwamba utakuwa nami mpaka kifo.
Waiting for u're promise baby
yna2
yna2
yna2
Cc Chombo ya fundi
Cc Zero IQ.