M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Nov 24, 2014 #2 Ingawa mandiko yake kwa.kidhungu lakini nitabahatisha na hapo sijui kama kuna kuvuka hiyo zebra maana kwa mbali namuwona simba nai namna anavomnyatia na hapo ndo ile yataka moyo au ndo bahati ya mtendee kwa simba mtu
Ingawa mandiko yake kwa.kidhungu lakini nitabahatisha na hapo sijui kama kuna kuvuka hiyo zebra maana kwa mbali namuwona simba nai namna anavomnyatia na hapo ndo ile yataka moyo au ndo bahati ya mtendee kwa simba mtu
Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,191 Nov 24, 2014 #3 Nimecheka mpaka basi!!!! Asante mleta mada you have made my day. Tiba