Kwahiyo hapo ulikua unajibu nini kama hadithi za kutunga hazijibiwi?
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Lowasa si wa kuamini tulienda nae kwa lengo moja tu la kumkabili ccm ila si kwa kumuamini, ni sawasawa na Zitto tutashirikiana nae kwa tahadhari kubwa si kwa kumuamini. Kabla ya Maalim ,Zitto amewekewa hoja nzito za waliomuandalia makazi huko ACT wakati fukuto la kufukuzwa likiendelea, wale wote waliomtia kichwa wamesharejea nyumbani huku aidha yeye akiachwa kama yatima au akiachwa kwa mipango maalumu kuikamilisha, ktk siasa haya hayatokei kwa bahati mbaya.