Yericko Nyerere aache upotoshaji

Yes uko sahihi, Yericko katafutwa na "wavaa miwani myeusi" na akakimbia toka Dar na kuhama mikoa bila pesa wala simu

Angekuwa marehemu bila ushupavu wake, tofauti na wewe unayeongoza migomo vyuoni! At college hata pesa hauna tulia, ukiwa huru pambana

Usimdharau kabisa huyu, kuna muda ndiyo anakosea kakubali. Lakini katika siasa ana upeo kuliko wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abdul Nondo acha kujiaibisha mbona hakuna hoja hata moja uliyoijibu? Kwani ACT wameanza kutumika Leo? ACT imeanza kusemwa alipohamia Maalim, mbona unajisahaulisha? ACT imeanza kusemwa wakati mwighamba, kitila na wenzake walipokuwa wanaandaa makao ya zzk hadi kumuweka kitini kabla hawajamkimbia huyu zzk na kurudi kwa waliowatuma(ccm), kitila akanyakua chake, Mghwira, mchange, msando na wengineo kila MTU akanyakua kilichochake kutegemea na kazi aliyotumwa, Leo kidogo zzk anasituka kwamba alikuwa akitumiwa na hao watu na sasa anajitahidi kurudi ktk msitari, maalimu anaweza aminiwa ila zzk ni hatari kumuamini kwa usalama wa kupambana na ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are right brother, mmoja anamtumikia mwenyekiti Mbowe na mwingine anamtumikia poti wake, ila umoja wa Zitto na CDM hauwezi dumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nondo mbona unataka uiaibisha elimu yako?
Kwa rejea unazokuja nazo za vitabu sijui nani kaandika nini, kwanini usitumie rejea hizo hizo kuanzisha uzi wako binafsi badala ya kutumia rejea hizo kujibu nyuzi za wengine.
Kwanini uwe unasubiri kumjibu Nyerere wakati kumbe unaweza kuanzisha wa kwako kwa mashauri hayo hayo ya Nyerere?.
Au nawewe ka wanasiasa wetu, kutumia tukio la mwanasiasa mwingine kujiimarisha?
 
Yericko Nyerere adui yetu ni mkoloni mweusi ccm?naomba uelekeze mashhhhhhahmhbhuhlhihzhihhi huko achana na magazeti tunaosoma wa mjini wachache tuu.
Umoja ni Nguvu
 
Kwanza tujuane wewe ni ACT?
Nondo anasema yeye ni "mwana Demokrasia nina amini katika umoja na mshikamano "unity" and "Solidarity" katika jambo lolote"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa Gazeti wapo karibu na viongozi wa Chama kwa ushahidi upi? ,Kuna ukaribu zaidi ya maandiko ya YERICKO kuandikwa ktk Gazeti,zaidi ya akina YERICKO kuonekana ofisi za Jamvi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Direct to the point lazima uelewe kuongea kwa references sio maoni yako tuu ndio unaita ukweli nimeandika vile makusudi kuonesha sifa za taarifa za uongo Kama wa yeriko na ninajua umejofunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzie katoa hoja nzito yeye anatuletea porojo tuu hapa.
Na napata shida kidogo kwa Nondo ana jambo limsukumalo kujibu Hoja za Yeriko!!!, japo anjificha kwenye mwamvuli wa "mwa-na-Demokrasi but.......????? Muda utasema .
 
Mkuu kuwa na umri mkubwa sio kigezo cha kuheshimiwa! Ila hekma ,busara ,mtu ana potosha ,ana chonganisha,ana shambulia watu ,anakashifu watu waliohamia Chama kingine alafu akijibiwa unataka eti asikosolewe ajibiwe kwa staha ,staha ipi zaidi ya hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi nipo na huwa nikijibu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukijua kuwa Yericko alikuwa sahihi hili andiko lako litakusuta.

Tafuta uhusiano wa Jamvi la Habari, Tetere Media na ZZK na Habib Mchange.

Unaonekana bado mdogo sana kuelewa na kuchanganua baadhi ya mambo.
Nina jua ni Mchange Mkurugenzi wa Gazeti hilo anafanya mambo yake anatumika na wanaomlipa huko dhidi ya wapinzani hivyo , mengine zaidi ya hapo ni upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YERICKO hana hoja ,ni hadithi za kutunga , Hadith huwa hazijibiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
, Zitto sio wa kumuamini ila Lowasa ni wakuamini ! Hizo hoja za Zitto ni baada ya Maalim?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…