Yemen hawaogopi mtu hao , wanamtishia mpaka saudiaWayemen ni watu wengine.
Kwa wanaowafahamu waarabu wa Yemen anawajua vizuri; wayemen wakiamua jambo lao wameamua.
Mamlaka ya Saudia inwaogopa hatari!Yemen hawaogopi mtu hao , wanamtishia mpaka saudia
Sio wanamtishia walimchapa mpaa akaomba Oman iwapatanisheYemen hawaogopi mtu hao , wanamtishia mpaka saudia
Muingereza na US wamekaa mbali wanaogopa kukaribia Red Sea 😄Wayemen watu wengine kabisa!
Mashia huwa mnajikesha kisha mnachekaSio wanamtishia walimchapa mpaa akaomba Oman iwapatanishe
Waelekeze njia ya Jerusalem plz wakale asali maana Nyuki wengi pale Hamas na Hezbollah wanakula kilaini⚠️BREAKING NEWS⚠️
Houthis walisema kuwa Israel imepoteza njia kuelekea Bahari Nyekundu, Ghuba ya Uajemi na Ghuba ya Aden. Hakuna meli ya Marekani na Israel inayoweza kuvuka kutoka huko.
View: https://x.com/naziakhan455/status/1807131763489259859?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mimi si Mshia dogo, afu hata ukinita Mshia si kosa, as long wanasema Hakuna Mungu mwingine isipokuwa Mungu pekee, na Muhammad ni Mtume wa Mungu.Mashia huwa mnajikesha kisha mnacheka
Wamekimbia afu America anaungurumia mbali aonekane simba 😄Americant n shost zake wamekimbia huko ama?
Waelekeze njia ya Jerusalem plz wakale asali maana Nyuki wengi pale Hamas na Hezbollah wanakula kilaini
Wayemen ni watu wengine.
Kwa wanaowafahamu waarabu wa Yemen anawajua vizuri; wayemen wakiamua jambo lao wameamua.
Ndio tuonyeshe basi ujanja wakoWaislamu ni wapumbavu, mnachelea mambo ya kipumbavu
Vita gharama aisee.Jeshi la Wanamaji la Marekani linashindwa katika vita katika Bahari Nyekundu na wanafedheheshwa kwani hawana uwezo wowote wa kuwazuia Wahouthi au kulinda meli.
Mamia ya meli lazima ziongeze safari mara mbili kwa sababu ya kizuizi.
USS Eisenhower aliondoka eneo hilo kama mpotevu.
View: https://x.com/currentreport1/status/1807774014842044673?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw