Hahahaha,Hivi nyie hizi taarifa za haraka haraka mnatoaga hapi.Yani fasta tu ushajua kuwa alikuwa nyuma ya Sakho kwenye goli bora la Caf.Much salute to you Braza.Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu
Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote linafungwa.
What a back?
View attachment 2688333
Kabla ya kusajiliwa kunakuwaga na tetesi so mchakato wa kuanza kutafuta data za mchezaji unaanzia hapo.Hahahaha,Hivi nyie hizi taarifa za haraka haraka mnatoaga hapi.Yani fasta tu ushajua kuwa alikuwa nyuma ya Sakho kwenye goli bora la Caf.Much salute to you Braza.
Boy, Ww kila kitu kinachohusu Yanga huwa unadiss, daah!!Kwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu
Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote linafungwa.
What a back?
View attachment 2688333
Nimekupata mkuu.Kweli wewe ni Scars.Kumbe mtani kasajili garasa lililompa Sakho goli bora.Sikujua!!!Kabla ya kusajiliwa kunakuwaga na tetesi so mchakato wa kuanza kutafuta data za mchezaji unaanzia hapo.
Usipanick kaka.Huyo ni mtani tu,don't take it too seriously!!!Boy, Ww kila kitu kinachohusu Yanga huwa unadiss, daah!!
Tusijidanganye wanasimbaKwa ambao hamjui beki bora wa kulia hapa kuna stori fupi inayo mhusu
Yao ndio aliyekuwa nyuma ya Sakho akikabia macho mpira ambao ulienda kufunga goli bora la mashindano yote linafungwa.
What a back?
View attachment 2688333
Binafsi nimemtilia shaka hapa japo wengine hawaoni hili!Angekuwa bora asingepewa mkataba wa mwaka 1, hapo inaonesha Yanga Fc haimuamini.
Wacha kabisa kufananisha kapombe na takataka zingineTusijidanganye wanasimba
Huyo beki ni mzuri, yuko more aggressive and technical kulinganisha na Djuma au Kapombe.
Mkataba una mambo mengi uwezi kujua vipengele vya kimkataba kati yake na waajiri wake vimekaaje, pengine kuna option ya kuongeza au pengine anaangalia mbele zaidi ya hapa baada ya mwaka mmoja uwezi kujua, kuhusu ubora amethibitisha labda kama ujamfatilia mechi alizocheza utapata jibu!Angekuwa bora asingepewa mkataba wa mwaka 1, hapo inaonesha Yanga Fc haimuamini.
Kapewa mkataba wa miaka miwili.Angekuwa bora asingepewa mkataba wa mwaka 1, hapo inaonesha Yanga Fc haimuamini.
Usajili wowote ni kamari kwahiyo urefu au ufupi wa mkataba zinaweza kuwa factors zinazokamilisha kamari yenyeweAngekuwa bora asingepewa mkataba wa mwaka 1, hapo inaonesha Yanga Fc haimuamini.
Kwahiyo mchezaji Bora mnampa mwaka umoja duuuu akili ya uto hiyo
A SON OF ANYAMA ATTOULAJ YAO IS GREEN AND YELLOW ||
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja.
Yao ni moja ya Ma Full back bora kabisa barani Afrika kwa Wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Africa kwa sasa, SolBen Academy ya Asec Mimosas ndiyo iliyomkuza.
Aliwahi kwenda Morocco lakini mambo hayakwenda Vema akarejea Asec Mimosas na baadae kuwa na mchango mkubwa kikosini hapo hata kufika nusu fainali ya Shirikisho Africa Msimu jana.
Ameungana na Aubin Kramo Kouame na Stephanie Azizi KI ambao walicheza Asec Msimu Juzi Kwa pamoja wakifika hatua ya makundi ya Shirikisho Africa.
Attoula Yao Kousi, Anatokea Eneo liitwalo Anyama katika Jiji la Abidjan, Eneo Hilo Star mkubwa zaidi ni Gervinho.
Kwahiyo ndan ya miezi sita mchezaji anaweza ongea na klabu nyingine ???? Unasoma upo SAWA hapo??Mkataba una mambo mengi uwezi kujua vipengele vya kimkataba kati yake na waajiri wake vimekaaje, pengine kuna option ya kuongeza au pengine anaangalia mbele zaidi ya hapa baada ya mwaka mmoja uwezi kujua, kuhusu ubora amethibitisha labda kama ujamfatilia mechi alizocheza utapata jibu!