Yanga tayari wamekwishapoteza mwelekeo. Walisajili kwa mbwembwe lakini hakuna kitu uwanjani. Mabeki hovyo. Mtu kama Ngassa tayari ameishapitwa na wakati ndo anakuwa fowadi. Hata leo mtafungwa na Coastal Union.
Naona pozi limenikata baada ya kuona mchezaji nisiyemuelewa Ali Ali akianza pale nyuma na mkongwe Kelvin Yondani! Anisamehe tu kwa kweli, ila siungi mkono usajili wake Jangwani.
Asipotuchomesha, basi ni jambo la kushukuru kwa kweli.