Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,265 Reaction score 839 Jul 22, 2018 #1 Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
Hii hijawahi tokea, usajiri hata wachezaji kumi wapya imeshindikana, pamoja na TFF kkuongeza nafasi hadi 10 lakini Yanga yangu ni shida sana, umasikini haujawahi acha MTU salama.
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,977 Reaction score 14,103 Jul 22, 2018 #2 Embu ngoja nkaone arsenal wamerport nn leo
Xubzero JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 244 Reaction score 415 Jul 22, 2018 #3 Msimu ujao lazma washuke daraja dadeki
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Jul 22, 2018 #4 usser said: Embu ngoja nkaone arsenal wamerport nn leo Click to expand... Wapo Singapore
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,581 Reaction score 7,252 Jul 22, 2018 #5 Yanga tatizo ni jangwani si unajua hata ile secondry ya jangwan nayo aibu tupu
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,360 Reaction score 5,846 Jul 23, 2018 #6 Serikali iache siasa kwenye michezo
P Payrol JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 2,296 Reaction score 3,095 Jul 23, 2018 #7 Turnkey said: Serikali iache siasa kwenye michezo Click to expand... Kivipi mkuu
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,146 Reaction score 10,864 Jul 23, 2018 #8 Kwa mwenye mbwa alichomfanyia Manji, ndio matokeo yake haya!
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 12,119 Reaction score 22,516 Aug 27, 2020 #9 Mkuu Yanga mmefikia wapi
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,948 Reaction score 4,594 Aug 27, 2020 #10 Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,675 Aug 27, 2020 #11 Noti bandia said: Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu Click to expand... story zishabadilika siyo yacoub sagna tena ni tuyisenge
Noti bandia said: Watu wameingizwa mkenge Leo wapo airport wanasubiri mchezaji mpya hatui tu Click to expand... story zishabadilika siyo yacoub sagna tena ni tuyisenge