Binafsi, pamoja na kuwa ni shabili wa Yanga, naomba nipongeze uongozi kwa ku-maintain ubora wa timu..!!
Jaribio la jana, kiukweli lilikuwa ni jaribio KUBWA sana lililokuja MAPEMA sana, lakini bado pamoja na jaribio kuja mapema wakati bado kocha mpya na wachezaji wapya hawajazoeana sana TULIFANIKIWA KULIWEZA…!!
Kwa mpira ule, binafsi natabiri makubwa sn kwenye ligi yetu…!!