Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 490
- 1,171
Kwangu mimi naona ni bora iendeshwe kwa nguvu ya GSM kuliko wanachama.Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake...
Well saidKwangu mimi naona ni bora iendeshwe kwa nguvu ya GSM kuliko wanachama.
Kiukweli ikiwaachia timu waswahili wataiharibu! Timu mwachie mwenye pesa...
Wewe si ndiye uliyekuwa mstari wa mbele kusema mo kajimilikisha simba. Leo unasema ni bora GSM achukue timu kuliko Wanachama ? Hii TZ ina watu wa ajabu Sana.Kwangu mimi naona ni bora iendeshwe kwa nguvu ya GSM kuliko wanachama.
Kiukweli ikiwaachia timu waswahili wataiharibu! Timu mwachie mwenye pesa...
Kapiga u turn fasta baada ya kuona maji yamezidi ungaWewe si ndiye uliyekuwa mstari wa mbele kusema mo kajimilikisha simba. Leo unasema ni bora GSM achukue timu kuliko Wanachama ? Hii TZ ina watu wa ajabu Sana.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka tukusaidieje? Kwani kazi za kuajiriwa zipo Yanga pekee?Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake...
Wameshikwa pabaya hawana namna tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si ndiye uliyekuwa mstari wa mbele kusema mo kajimilikisha simba. Leo unasema ni bora GSM achukue timu kuliko Wanachama ? Hii TZ ina watu wa ajabu Sana.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Timu ukiwaachia wale wavaa kandambili unategemea Nini?Kwangu mimi naona ni bora iendeshwe kwa nguvu ya GSM kuliko wanachama.
Kiukweli ikiwaachia timu waswahili wataiharibu! Timu mwachie mwenye pesa..
Vivyohivyo kwa Azam huwezi waachia wanachama ukamtoa Bakhresa eti timu iendelee..noo
Hata simba mtu kama Mo ni muhimu sana pale huwezi mtoa ukawaweka wale vobabu vinavyoshinda kwenye kahawa lumumba
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wewe poyoyo usilinganishe katiba ya yanga na takataka zenu mlizonazo uko, katiba ya yanga iko very tight kwenye suala zima la uwekezaji, ni moja ya katiba bora ambayo imezingatia kwa kina misingi ya klabu, akuna mwekezaji atakuja kuleta mambo ya uswahili na kuinajisi yanga Kama anavyofanya Mo uko kwenu anafanya anachotaka, Unaposema matumizi ya usajili ni m.317 nafikiri kichwa chako kuna fyuzi imechomoka sio bure, Aziz ki peke yake kalamba 460, vipi bigirimana? Vipi lomarisa? Vipi kambole? Wamesajiliwa bure? Kabla ujapost uharo uwe unafanya utafiti kwanza kujua propaganda yako kama angalau itaclick kwenye vichwa vya watu, shida yenu umbumbumbu wenu mnauweka Sana wazi sijaelewa Kama ni laana ya mwenyekiti wenu rage au vipiSenzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake.
Kwa sasa kinachoendelea ndani ya klabu yetu YANGA SC ni uhuni uhuni mwingi.
Kila mtu Anapiga pesa kwa njia yake. Taarifa za siri sana kutoka kwa wadau weye sauti za juu kwenye klabu hiyo zinasema kwenye usajili zimetumika Milioni 317 kwa wachezaji wote lakini kwenye matumizi ya Klabu imeandikwa Bilioni 1.4
Pia kuna wafanyakazi ambao wapo ndani ya Yanga SC wataondolewa na wataletwa wafanyakazi wengine.
Na inasemekana kuwa hao wafanyakazi wapya wanaoingia wanatoka upande wa GSM.
Yanga kwa sasa inaenda kuendeshwa kwa matakwa ya GSM na Siyo matakwa ya klabu au wanachama.
Ipo siku ukweli utafahamika hadharani.
Tusubiri tuone.
Una akili wewe unatuletea taarifa za uongo humu hivi hata ufaham wako wa kawaida haukusaidii an kwenye usajili zitumike mill 317 pamoja na ujio wa wachezaj wote wakubwa wale kina Aziz ki,vitu vingne kabla ya kupost em tafakari kwanz mwnyew kwa ufaham wa kawaidaa2Senzo huwa hapendi Kuishi sehemu yenye uhuni uhuni mwingi.
Hiyo imekuwa kawaida kwa upande wake...