Watu wengi (hata waandishi wa habari za michezo) hawajui wakati gani goli la ugenini linapotakiwa kuhesabiwa, ndio maana sishangai mtu akiandika agregate ya 3-1 badala ya 2-1 ! Inabidi nije na thread maalum kuelekeza watu humu! Ila kwa ufupi goli la ugenini huwa linaangaliwa BAADA ya matokeo ya home and away kulingana, sio tu mechi inaendelea halafu anajitokeza mtu na kuanza kuhesabu away goal! Anyway, ni uhuru wa kuongea (na kuandika!)