Mechi hii ilishakwisha tangu Dar es salaam baada ya Yanga kuishindwa kuifunga Zamalek nyumbani, nawaomba Yanga wenzangu msipoteze muda wenu kutalajia lolote jipya kwenye mechi hii, timu imekwenda kule Cairo kukamilisha ratiba tu. huu ndio ukweli mchungu.