Yani kutolewa klabu bingwa mkaletwa shirikisho ndio stage kweli nyie viazi, mmeshiriki klabu bingwa na shirikisho baada ya kushinda ligi kuu 2017/18, sisi tulishiriki shirikisho tu,ninyi ni vilaza klabu bingwa mmepigwa mvua na shirikisho mvua, kwa sasa 2018/19 Simba ndio bingwa kwa iyo mwakani tutawaonyesha heshima ya klabu bingwa inavyotakiwa kuwa